Papa Innocent XIII
(Elekezwa kutoka Papa Inosenti XIII)
Jump to navigation
Jump to search
Papa Innocent XIII (13 Mei 1655 – 7 Machi 1724) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8 Mei 1721 hadi kifo chake.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michelangelo dei Conti.
Alimfuata Papa Klementi XI akafuatwa na Papa Benedikto XIII.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |