Papa Yohane XVII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Papa Yohane XVII.

Papa Yohane XVII alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Juni 1003 hadi kifo chake tarehe 6 Novemba 1003.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Sicco.

Alimfuata Papa Silvester II akafuatwa na Papa Yohane XVIII.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XVII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.