6 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 6 Novemba ni siku ya 310 ya mwaka (ya 311 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 55.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1952 - Michael Cunningham, mwandishi kutoka Marekani
- 1954 - Stephen Watson, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1957 - Cam Clarke, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1003 - Papa Yohane XVII
- 1231 - Tsuchimikado, mfalme mkuu wa Japani (1198-1210)
- 1406 - Papa Innocent VII
- 1893 - Pyotr Ilyich Tchaikovsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1932 - Émile Friant, mchoraji kutoka Ufaransa
- 2012 - Aloysius Balina, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 2012 - Clive Dunn, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi wa Toniza, Paulo I wa Konstantinopoli, Melani wa Rennes, Iltudi, Leonardi wa Limoges, Kaliniko na wenzake, Severo wa Barcelona, Protasi wa Lausanne, Winoko, Stefano wa Apt, Theobadi wa Dorat, Nuno Alvares n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 6 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |