7 Novemba
Jump to navigation
Jump to search
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 7 Novemba ni siku ya 311 ya mwaka (ya 312 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 54.
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1872 - Leonora Speyer, mshairi wa kike kutoka Marekani
- 1888 - Chandrasekhara Raman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1930
- 1903 - Konrad Lorenz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
- 1913 - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 1929 - Eric Kandel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
- 1964 - Corrado Sanguineti, askofu Mkatoliki nchini Italia
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 644 - Umar ibn al-Khattab, khalifa wa pili wa Uislamu auawa na mtumwa Mwajemi mjini Madina
- 1964 - Hans von Euler-Chelpin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1929
- 1967 - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 1980 - Steve McQueen, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 2005 - John Patrick, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Wilibrodi, askofu
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 7 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |