Corrado Sanguineti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Corrado Sanguineti (amezaliwa Milano, 7 Novemba 1964) ni askofu Mkatoliki nchini Italia.

Alipata upadrisho tarehe 30 Oktoba 1988.

Tarehe 16 Novemba 2015 ametangazwa kuwa askofu wa Jimbo la Pavia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.