16 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 16 Novemba ni siku ya 320 ya mwaka (ya 321 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 45.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1538 - Mtakatifu Turibio wa Mongrovejo, askofu wa mji wa Lima, Peru
- 1729 - Mtakatifu Egidi Maria wa Mt. Yosefu, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1904 - Nnamdi Azikiwe, Rais wa kwanza wa Nigeria
- 1922 - Jose Saramago, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1998
- 1930 - Chinua Achebe, mwandishi Mnigeria
- 1982 - Mangwair, mwanamuziki kutoka Tanzania
- 1985 - Aminata Niaria, mwanamitindo kutoka Senegal
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 498 - Papa Anastasio II
- 1093 - Margareta Mtakatifu wa Uskoti, malkia wa Uskoti
- 1272 - Mfalme Henry III wa Uingereza
- 1995 - Charles Gordone, mwandishi kutoka Marekani
- 1999 - Daniel Nathans, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- 2005 - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Margareta wa Uskoti, Gertrudi wa Thuringia, Augustino na Felisita, Eukeri wa Lyon, Edmund Rich n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 16 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |