Egidi Maria wa Mt. Yosefu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu yake iliyotengenezwa kwa karatasi iliyopondwa mwaka 1920.

Egidi Maria wa Mt.Yosefu (Taranto, 16 Novemba 1729 - Napoli 7 Februari 1812), alikuwa mtawa ombaomba wa shirika la Ndugu Wadogo Pekupeku kutoka Italia kusini.

Jina lake la awali lilikuwa Francesco Antonio Domenico Pasquale Pontillo.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II mwaka 1996. Kabla ya hapo alitangazwa mwenye heri na Papa Leo XIII mwaka 1888.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Egidi Maria wa Mt. Yosefu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.