Nnamdi Azikiwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Benjamin Nnamdi Azikiwe (16 Novemba 190411 Mei 1996), kwa kawaida hujulikana kama Nnamdi Azikiwe, au, kinyumbani na maarufu, huitwa "Zik". Alikuwa muanzilishi wa utaifa wa Nigeria na pia alikuwa rais wa kwanza wa Nigeria ya leo. Alishirikiria nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa Nigeria.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nnamdi Azikiwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.