Yosef Ben-Jochannan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwalimu Ben mbele ya hadhira.

Yosef Alfredo Antonio Ben-Jochannan (tamka: /ˈbɛn ˈjoʊkənən/; aliitwa pia Dr. Ben, yaani "Mwalimu Ben"; 31 Desemba 191819 Machi 2015), alikuwa mwandishi na mwanahistoria nchini Marekani. Alikuwa mwanasayansi wa Uafrocentriki na uzalendo weusi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Zulu, Itibari M. Yosef A.A. ben-Jochannan: Philosophy and Opinions, Africology: The Journal of Pan African Studies, vol.8, no.10, February 2016, pp. 48–61.
  • Ben-Jochannan, Y. (1991). African Origins of the Major" Western Religions" (Vol. 1). Black Classic Press.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosef Ben-Jochannan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.