John G. Jackson (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Glover Jackson (1 Aprili 190713 Oktoba 1993) alikuwa mwanahistoria wa muungano wa Afrika, mwalimu, mkufunzi na mwandishi nchini Marekani. Aliendeleza Uafrocentriki.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Usher, C. A. (1994). Exploring the contributions of John G. Jackson to African historiography.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John G. Jackson (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.