John Henrik Clarke
Mandhari
John Henrik Clarke (Union Springs, Marekani, 1 Januari 1915 – New York, Marekani, 16 Julai 1998) alikuwa mwandishi, mwalimu na mwanahistoria wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Alijenga "African studies" (masomo kuhusu Waafrika nchini Marekani).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Henrik Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |