Southern African Development Community
Southern African Development Community (kifupi: SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980.
Muundo wa awali "Southern African Development Community Conference" (SADCC) ulibadilishwa na kuwa Southern African Development Community tarehe 17 Agosti 1992.
Jamii za Kiuchumi za Afrika | |||||
---|---|---|---|---|---|
Kambi Nguzo za Maeneo |
Eneo (km²) | Idadi ya Watu | GDP (PPP) ($US) | Wanachama | |
katika mamilioni | kwa kila mtu | ||||
AEC | 29,910,442 | 853,520,010 | 2,053,706 | 2,406 | 53 |
ECOWAS | 5,112,903 | 251,646,263 | 342,519 | 1,361 | 15 |
ECCAS | 6,667,421 | 121,245,958 | 175,928 | 1,451 | 11 |
SADC | 9,882,959 | 233,944,179 | 737,335 | 3,152 | 15 |
EAC | 1,817,945 | 124,858,568 | 104,239 | 1,065 | 5 |
COMESA | 12,873,957 | 406,102,471 | 735,599 | 1,811 | 20 |
IGAD | 5,233,604 | 187,969,775 | 225,049 | 1,197 | 7 |
Sahara Magharibi 1 |
266,000 | 273,008 | ? | ? | N/A 2 |
Kambi Nyingine za Afrika |
Eneo (km²) | Idadi ya Watu | GDP (PPP) ($US) | Wanachama | |
katika mamilioni | kwa kila mtu | ||||
CEMAC 3 | 3,020,142 | 34,970,529 | 85,136 | 2,435 | 6 |
SACU 3 | 2,693,418 | 51,055,878 | 541,433 | 10,605 | 5 |
UEMOA 3 | 3,505,375 | 80,865,222 | 101,640 | 1,257 | 8 |
UMA 4 | 5,782,140 | 84,185,073 | 491,276 | 5,836 | 5 |
GAFTA 5 | 5,876,960 | 166,259,603 | 635,450 | 3,822 | 5 |
1 Sahrawi Arab Democratic Republic (SADR) ni mtia sahihi wa AEC, lakini haipo katika Kambi yoyote 2 Wengi wako chini ya jeshi la Moroko |
Yaliyomo
Nchi wanachama[hariri | hariri chanzo]
Wanachama ni: Afrika Kusini, Angola, Botswana, Eswatini, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lesotho, Madagaska, Malawi, Morisi, Msumbiji, Namibia, Shelisheli, Tanzania, Zambia, Zimbabwe. Hivyo ina nchi takribani 16 ndani yake. Pia Burundi imeomba kujiunga.
Makao makuu yake yako Gaborone nchini Botswana.
Sababu za kuundwa kwa SADC[hariri | hariri chanzo]
Malengo ya SADC:
1. kuleta ulinzi na usalama katika nchi husika
2. kuleta mshikamano baina ya nchi wanachama
3. kuongeza na kukuza biashara baina ya nchi hizo
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA)
- East African Community (EAC)
- Economic Community of Central African States (ECCAS)
- Southern African Customs Union (SACU)
- Economic Community of West African States (ECOWAS)
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Gabriël Oosthuizen, The Southern African Development Community: The organisation, its history, policies and prospects. Institute for Global Dialogue: Midrand, South Africa, 2006.
- John McCormick, The European Union: Politics and Policies. Westview Press: Boulder, Colorado, 2004.
- Muntschick, Johannes, The Southern African Development Community (SADC) and the European Union (EU). Regionalism and External Influence. Palgrave Macmillan: Cham. 2017. ISBN 978-3-319-45330-9Script error: No such module "check isxn"..
- Ramsamy, Prega 2003 Global partnership for Africa. Presentation at the human rights conference on global partnerships for Africa’s development, Gaborone: SADC
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
|
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Southern African Development Community kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |