Intergovernmental Authority on Development

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Intergovernmental Authority on Development

Intergovernmental Authority on Development (IGAD) ni muundo wa kimataifa kwa ajili ya biashara unaounganisha nchi 8 za Afrika: Somalia, Ethiopia, Kenya, Eritrea, uganda, Sudan Kusini, Sudan na Jibuti. Ulianzishwa mwaka 1996.

Makao makuu yako Jibuti.

Wanachama[hariri | hariri chanzo]

Pembe ya Afrika
  • Bendera ya Jibuti Djibouti (founding member, since 1986)
  • Bendera ya Ethiopia Ethiopia (founding member, since 1986)
  • Bendera ya Somalia Somalia (founding member, since 1986)
  • Bendera ya Eritrea Eritrea (admitted 1993, withdrew 2007, readmitted 2011)[1]
Bonde la Nile
Maziwa Makuu ya Afrika
  • Bendera ya Kenya Kenya (founding member, since 1986)
  • Bendera ya Uganda Uganda (founding member, since 1986)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Intergovernmental Authority on Development: About us: History". IGAD. 9 January 2010. Iliwekwa mnamo 29 December 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "East African bloc admits South Sudan as member". Reuters Africa. 25 November 2011. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-05. Iliwekwa mnamo 25 October 2012.  Unknown parameter |= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]