Southern African Development Community

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Southern African Development Community (kifupi SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980.

Muundo wa awali "Southern African Development Community Conference" (SADCC) ulibadilishwa na kuwa Southern African Development Community tarehe 17 Agosti 1992.

Nchi wanachama[hariri | hariri chanzo]

Wanachama ni: Angola, Lesotho, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Afrika Kusini, Swaziland, Mozambique na Tanzania. Hivyo ina nchi takribani 15 ndani yake.

Makao makuu yake yako Gaborone nchini Botswana.

Sababu za kuundwa kwa SADC[hariri | hariri chanzo]

Malengo ya SADC:

1. kuleta ulinzi na usalama katika nchi husika

2. kuleta mshikamano baina ya nchi wanachama

3. kuongeza na kukuza biashara baina ya nchi hizo

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Southern African Development Community kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.