Omali Yeshitela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omali Yeshitela (alizaliwa St. Petersburg, Florida, 9 Oktoba 1941) ni mwanaharakati wa haki za watu weusi nchini Marekani. Alipigania kujichagulia kwa watu weusi duniani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Enhancing Police Integrity, by Carl B. Klockars, Sanja Kutnjak Ivković, Maria R. Haberfeld, 2006 (ISBN 978-0-387-36954-9).
  • "Uhuru Are You? Meet the little-known black power group behind a well-known institution", by Tom Dreisbach, Philadelphia Citypaper, August 12, 2009.
  • "Officials in St. Petersburg Call Racial Unrest 'Calculated'", by Mireya Navarro, New York Times, November 15, 1996.
  • "Effort to Heal Old Racial Wounds Brings New Discord", by Rick Bragg, New York Times, July 3, 1999.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omali Yeshitela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.