Frantz Fanon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Frantz Fanon (1959)

Frantz Fanon (20 Julai 19256 Desemba 1961) alikuwa mwandishi wa Kifaransa aliyezaliwa kwenye kisiwa cha Martinique.

Maandishi yake yalilenga hasa kukosoa ukoloni.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frantz Fanon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.