Cheikh Anta Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake mwishoni mwa miaka ya 1940.
Uchoraji wa Cheikh Anta Diop kwa Ade Olufeko. Ilionyeshwa katika Maonyesho ya Kitamaduni ya Biashara ya Kiafrika ya Mkutano wa 16 wa Biashara ya Kiafrika huko Boston katika Shule ya Biashara ya Harvard

Cheikh Anta Diop (1923-1986) alikuwa mwanahistoria, mwanaanthropolojia na mwanasiasa nchini Senegal.

Aliandika kuhusu utamaduni wa Afrika, hasa kusini kwa Sahara. Alitaka kuandika historia ya Afrika kabla ya ukoloni.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cheikh Anta Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.