Anthropolojia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lewis Henry Morgan
Bronisław Malinowski
Margaret Mead
Edward Sapir
Claude Lévi-Strauss

Anthropolojia ni fani ya elimu inayochunguza pande zote binadamu kuanzia wale wa kale[1][2][3].

Matawi yake mbalimbali yanachunguza maisha ya jamii, utamaduni pamoja na taratibu na tunu, athari ya lugha, mabadiliko ya kimwili n.k.[1][2][3]

Kwa vyovyote, anthropolojia inahitaji ushirikiano wa sayansi mbalimbali, ikiwemo teolojia.

Akiolojia inaweza kutazamwa kama sehemu ya anthropolojia (k.mf. Marekani[4] ) au ya historia, lakini pia kama fani ya pekee (k.mf. Ulaya).

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jina linatokana na neno la Kiingereza anthropology lililotumika mara ya kwanza kwa Kilatini mwaka 1593 kuhusiana na historia.[5][[6][7] Asili yake ni maneno mawili ya Kigiriki, ἄνθρωπος, ánthrōpos "mtu") na λόγος, lógos, "neno, somo, elimu").[5]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 anthropology. Oxford Dictionaries. Oxford University Press. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-07-09. Iliwekwa mnamo 10 August 2013.
  2. 2.0 2.1 anthropology. Encyclopedia Britannica. Iliwekwa mnamo 23 March 2015.
  3. 3.0 3.1 What is Anthropology?. American Anthropological Association. Iliwekwa mnamo 10 August 2013.
  4. Haviland, William A.; Prins, Harald E. L.; McBride, Bunny; Walrath, Dana (2010), Cultural Anthropology: The Human Challenge (13th ed.), Cengage Learning, ISBN 0-495-81082-7 
  5. 5.0 5.1 Oxford English Dictionary, 1st ed. "anthropology, n." Oxford University Press (Oxford), 1885.
  6. [Richard Harvey (astrologer)|Richard Harvey]]'s 1593 Philadelphus, a defense of the legend of Brutus in British history, includes the passage "Genealogy or issue which they had, Artes which they studied, Actes which they did. This part of History is named Anthropology." Its present use first appeared in Renaissance Germany in the works of Magnus Hundt and Otto Casmann.
  7. Israel Institute of the History of Medicine. Koroth. BRILL. p. 19. GGKEY:34XGYHLZ7XY. 

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kamusi elezo[hariri | hariri chanzo]

  • Barnard, Alan; Spencer, Jonathan, eds. (2010). The Routledge Encyclopedia of Social and Cultural Anthropology. London: Routledge.
  • Barfield, Thomas (1997). The dictionary of anthropology. Hoboken: Wiley-Blackwell Publishing..
  • Jackson, John L. (2013). Oxford Bibliographies: Anthropology. Oxford: Oxford University Press.
  • Levinson, David; Ember, Melvin, eds. (1996). Encyclopedia of Cultural Anthropology. Volumes 1–4. New York: Henry Holt.
  • Rapport, Nigel; Overing, Joanna (2007). Social and Cultural Anthropology: The Key Concepts. New York: Routledge. 

Kumbukumbu[hariri | hariri chanzo]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Vitabu vya kiada[hariri | hariri chanzo]

  • Clifford, James; Marcus, George E. (1986). Writing culture: the poetics and politics of ethnography. Berkeley: University of California Press. 
  • Geertz, Clifford (1973). The Interpretation of Cultures. New York: Basic Books. 
  • Harris, Marvin (1997). Culture, People, Nature: An Introduction to General Anthropology (7th ed.). Boston: Allyn & Bacon. 
  • Salzmann, Zdeněk (1993). Language, culture, and society: an introduction to linguistic anthropology. Boulder, CO: Westview Press. 
  • Shweder, Richard A.; LeVine, Robert A., eds. (1984). Culture Theory: essays on mind, self, and emotion. Cambridge, UK: Cambridge University Press. 
  • Waitz, Theodor (1863). [[[:Kigezo:Google books]] Introduction to Anthropology]. Translated by J. Frederick Collingwood for the Anthropological Society of London. London: Longman, Green, Longman, and Roberts. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Haller, Dieter. Interviews with German Anthropologists: Video Portal for the History of German Anthropology post 1945. Ruhr-Universität Bochum. Iliwekwa mnamo 22 March 2015.
  • AAANet Home. American Anthropological Association (2010).
  • Home. European Association of Social Anthropologists (2015).
  • Hagen, Ed (2015). AAPA. American Association of Physical Anthropologists.
  • Home. Australian Anthropological Society. Iliwekwa mnamo 23 March 2015.
  • AIBR, Revista de Antropología Iberoamericana (Spanish). Antropólogos Iberoamericanos en Red. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • Home. Human Relations Area Files. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • Home. National Association for the Practice of Anthropology. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-01-05. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • About. Radical Anthropology Group. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • Home. Royal Anthropological Institute. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • Home. The Society for Applied Anthropology. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-05-08. Iliwekwa mnamo 24 March 2015.
  • Anthropology. American Museum of Natural History. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.
  • Department of Anthropology. Smithsonian National Museum of Natural History. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.
  • AIO Home. Anthropological Index Online. Royal Anthropological Institute. Iliwekwa mnamo 25 March 2015.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthropolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.