Leonard Jeffries

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leonard Jeffries anashikilia ramani ya Peters, akizungumzia ukubwa wa raia wa ardhi kwa uhusiano wa kila mmoja

Leonard Jeffries Jr. (alizaliwa Newark, New Jersey, 19 Januari 1937) alikuwa mwalimu wa mafunzo kuhusu Watu Weusi katika Chuo kikuu cha New York.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonard Jeffries kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.