Runoko Rashidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Runoko Rashidi (alizaliwa 1954) ni mwanahistoria, mwandishi na mkufunzi nchini Marekani.

Alitoa hotuba kuhusu Uafrocentriki jijini Los Angeles na Paris.

Aliandika Utangulizi wa somo la utamaduni wa Afrika (Introduction to the study of African classical Civilizations, 1993).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Van Sertima, Ivan (1989). Egypt Revisited. Transaction Publishers. ISBN 0-88738-799-3
  • Rashidi, R. (1992). Introduction to the study of African clasical [sic] civilizations. Karnak House.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Runoko Rashidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.