Nenda kwa yaliyomo

Hotuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hotuba ya mlimani kadiri ya Carl Bloch (1877)
Mchungaji akihutubia katika mimbari, 1968.

Hotuba (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza: discourse) ni aina rasmi ya mawasiliano inayotumia lugha kwa namna maalumu ya dini, siasa, sayansi n.k. kadiri ya mazingira na walengwa[1]

Katika Injili, ni maarufu Hotuba ya mlimani ya Yesu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hotuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.