Stokely Carmichael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stokely mnamo mwaka 1966.

Stokely Standiford Churchill Carmichael (maarufu kama: Kwame Ture; alizaliwa visiwa vya Karibi, 19411998) alikuwa mwanaharakati wa [[Haki za watu weusi nchini Marekani.

Maisha ya mapema[hariri | hariri chanzo]

Stokely Standiford Churchill Carmichael alizaliwa Port of Spain, Trinidad na Tobago. Alihudhuria Shule itwayo Tranquility School hapo kabla ya kuhamia Harlem, New York City, mnamo 1952 akiwa na umri wa miaka 11, aliungana na wazazi wake Waliokuwa wakiishi Merekani tangu akiwa na miaka miwili, na alilelewa na bibi yake na shangazi zake wawili. [1] Ana dada zake watatu. [1] [2]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stokely Carmichael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. 1.0 1.1 Kaufman, Michael T. "Stokely Carmichael, Rights Leader Who Coined 'Black Power', Dies at 57", New York Times, November 16, 1998. Accessed March 27, 2008. (alternate url) Archived 18 Septemba 2021 at the Wayback Machine.
  2. "Ukweli wa Stokely Carmichael", YourDictionary.