Henry Taube
Henry Taube (30 Novemba 1915 – 16 Novemba 2005) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Kanada. Baadaye alipewa uraia wa Marekani. Hasa alichunguza elektroni za atomu. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
![]() |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry Taube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |