Lima
' | |
Utawala | Mkoa wa Lima |
Historia | iliundwa 18 Januari 1535 |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 12°2′0"S Longitudo: 77°1′0"W |
Kimo | 110 m juu ya UB |
Eneo | 2.664,67 km² (mji) |
Wakazi | - mji: 7.584.000 |
Msongamano wa watu | watu 8.544 kwa km² |
Simu | +51 (nchi) 01 (mji) |
Mahali | |
Lima ni mji mkuu na kitovu cha uchumi wa Peru.
Mji uliundwa tar. 18 Januari 1535 na Francisco Pizarro kwa jina la "Ciudad de reyes" (mji wa wafalme). Leo hii una wakazi zaidi ya milioni sita.
Gallery[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |