12 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Novemba ni siku ya 316 ya mwaka (ya 317 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 49.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1833 - Alexander Borodin, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 1842 - Lord Rayleigh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1904
- 1906 - George Dillon, mshairi kutoka Marekani
- 1938 - Benjamin Mkapa, Rais wa tatu wa Tanzania
- 1973 - Radha Mitchell, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
- 1974 - Ralf Krewinkel, mwanasiasa kutoka Uholanzi
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 607 - Papa Boniface III
- 1463 - Mtakatifu Diego wa Alkala, bradha wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Hispania
- 1623 - Mtakatifu Yosafat Kuntsevych, askofu wa Polotsk
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yosafat Kuntsevych, Nilo wa Ankara, Emiliani wa Berceo, Kunibati, Lebuino, Benedikto, Yohane na wenzao, Diego wa Alkala, Margarito Flores n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |