1 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Novemba ni siku ya 305 ya mwaka (ya 306 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 60.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1503 - Uchaguzi wa Papa Julius II
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1878 - Carlos Saavedra Lamas, mwanasiasa wa Argentina na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1936
- 1889 - Philip Noel-Baker, mwanasiasa wa Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1959
- 1948 - Amani Abeid Karume, Rais wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar (2000-2010)
- 1950 - Robert Laughlin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1903 - Theodor Mommsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1902
- 1979 - Mamie Eisenhower, mke wa Dwight D. Eisenhower, Rais wa Marekani (1953-1961)
- 1983 - Jan Matejko, mchoraji kutoka Poland
- 1993 - Severo Ochoa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1959
- 2006 - William Styron, mwandishi Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1968
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Watakatifu wote, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Sesari wa Terracina, Beninyo wa Dijon, Austremoni, Marselo wa Paris, Severini wa Tivoli, Magnus wa Milano, Vigori, Lisini wa Angers, Maturini, Audomari, Jeromu Hermosilla, Valentino Berriochoa, Petro Almato n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |