Robert Laughlin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Laughlin

Robert Betts Laughlin (amezaliwa 1 Novemba 1950) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza fizikia ya nyota. Mwaka wa 1998, pamoja na Horst Störmer na Daniel Tsui alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Laughlin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.