Daniel Tsui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daniel Tsui

Daniel Chee Tsui (amezaliwa 28 Februari 1939) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani akiwa amezaliwa nchini China. Hasa anajulikana kwa kugundua kanuni fulani ya kifizikia (kwa Kiingereza: quantum Hall effect). Mwaka wa 1998, pamoja na Robert Laughlin na Horst Störmer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Tsui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.