Theodor Mommsen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Theodor Mommsen
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Christian Matthias Theodor Mommsen (30 Novemba 18171 Novemba 1903) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani. Anafahamika hasa kwa kitabu chake Historia ya Roma (kwa Kijerumani: Römische Geschichte). Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Theodor Mommsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.