Carlos Saavedra Lamas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Carlos Saavedra Lamas

Carlos Saavedra Lamas (1 Novemba 18785 Mei 1959) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Argentina. Alikuwa Waziri ya Mambo ya Nje kuanzia 1932 hadi 1938. Wakati ule alisaidia kukomesha Vita ya Chako. Mwaka wa 1936 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlos Saavedra Lamas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.