28 Novemba
Mandhari
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 28 Novemba ni siku ya 332 ya mwaka (ya 333 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 33.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1821 - Nchi ya Panama inapata uhuru kutoka Hispania ikiwa sehemu ya nchi ya Kolombia chini ya Simon Bolivar
- 1960 - Nchi ya Mauritania inapata uhuru kutoka Ufaransa
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1756 - Mtakatifu Maria Magdalena Postel, bikira na mwanzilishi nchini Ufaransa
- 1924 - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 1948 - Mgana Izumbe Msindai, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1950 - Russell Hulse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1993
- 1984 - Trey Songz, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 741 - Mtakatifu Papa Gregori III
- 1476 - Mtakatifu Yakobo wa Marka, O.F.M., padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1694 - Matsuo Bashō, mshairi Mjapani
- 1954 - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Irenarki, Papiniani, Mansueti wa Urusi na wenzao, Stefano Kijana, Yakobo wa Marka, Andrea Tran Van Thong n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 28 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |