Kreskoni wa Tripoli
Mandhari
Kreskoni wa Tripoli (alifariki baada ya 453) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Tripoli (leo nchini Libya).
Alipelekwa uhamishoni katika dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali[1].
Habari zake zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Novemba[2][3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |