Stefano Kijana

Picha takatifu ya karne ya 14–15 kuhusu Ushindi wa Imani sahihi dhidi ya waliopinga heshima kwa picha hizo (843). Mt. Stefano yumo kama mmojawapo kati ya wafiadini wa heshima hiyo.
Stefano Kijana (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 715 hivi ; Konstantinopoli, 28 Novemba, 764 hivi) alikuwa abati aliyedhulumiwa kirefu na kaisari Konstantino V wa Bizanti na hatimaye kuuawa kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Huxley, George (1977). "On the Vita of St Stephen the Younger". Greek, Roman, and Byzantine Studies 18 (1): 97–108. https://grbs.library.duke.edu/article/viewFile/7891/4835.
- Majeska, George P. (1984). Russian Travelers to Constantinople in the Fourteenth and Fifteenth Centuries. Washington, District of Columbia: Dumbarton Oaks. ISBN 978-0-88402-101-8.
- Rochow, Ilse (1994). Kaiser Konstantin V. (741–775). Materialien zu seinem Leben und Nachleben (in German). Frankfurt am Main, Germany: Peter Lang. ISBN 3-631-47138-6.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |