Enrico Fermi
Enrico Fermi (Roma, Italia, 29 Septemba 1901 – Chicago, Marekani, 28 Novemba 1954) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Italia. Baadaye alihamia Marekani akawa raia wa huko. Hasa anajulikana kwa uchunguzi wake wa atomu na mambo ya kinyuklia kwa jumla. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Enrico Fermi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |