29 Septemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Ago - Septemba - Okt | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1547 - Miguel de Cervantes, mwandishi Mhispania
- 1901 - Enrico Fermi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1938
- 1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978
- 1931 - James Cronin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980)
- 1942 - Jean-Luc Ponty, mwanamuziki kutoka Ufaransa
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1925 - Leon Bourgeois (mwanasiasa Mfaransa, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1920)
- 1927 - Willem Einthoven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924)
- 1952 - George Santayana
- 2001 - Gloria Foster, mwigizaji filamu kutoka Marekani