Nenda kwa yaliyomo

13 Novemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 13 Novemba ni siku ya 317 ya mwaka (ya 318 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 48.

Waliozaliwa

[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki

[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Antonini, Nisefori na wenzao, Mitri wa Aix, Brisi wa Tours, Arkadi, Paskasi na wenzao, Kwintiani wa Rodez, Eugeni wa Toledo, Papa Nikolasi I, Omobono, Agostina Pietrantoni n.k.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 13 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.