Nenda kwa yaliyomo

Leoniani wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leoniani wa Vienne (kwa Kilatini: Leonianus; Panonia, karne ya 5 - Ufaransa, 518) alikuwa Mkristo aliyetekwa na Wapagani kuwa mtumwa na kupelekwa kwenye Ufaransa wa leo. Huko, baada ya kupata tena uhuru wake akawa mmonaki halafu kwa miaka 40 abati wa monasteri kwanza Autun halafu Vienne [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo mwaka 1903.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba[3], lakini pia 4 Januari.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Martyrologium Romanum
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/77480
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.