4 Januari
Jump to navigation
Jump to search
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Januari ni siku ya nne ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 361 (362 katika miaka mirefu).
Matukio[hariri | hariri chanzo]
Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]
- 1642 - Isaac Newton, mwanasayansi maarufu duniani kutoka Uingereza
- 1940 - Gao Xingjian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2000
- 1940 - Brian Josephson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 1945 - Richard Schrock, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 1962 - Binilith Satano Mahenge, mwanasiasa wa Tanzania
- 1963 - May-Britt Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 1980 - Greg Cipes, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki[hariri | hariri chanzo]
- 1309 - Mtakatifu Anjela wa Foligno, Mfransisko kutoka Italia
- 1821 - Mtakatifu Elizabeth Ann Seton, mwanzilishi wa shirika la kwanza la kitawa huko Marekani
- 1941 - Henri Bergson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1927
- 1960 - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 1961 - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1933
- 1965 - T. S. Eliot, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1948
- 1982 - Ross Turnbull, mchezaji wa mpira kutoka Uingereza
- 2006 - Maktoum bin Rashid Al Maktoum, Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu na mtawala wa Dubai
- 2007 - Juma Jamaldin Akukweti, mwanasiasa wa Tanzania
- 2010 - Paulo Ahyi, msanii aliyeunda bendera ya Togo
Sikukuu[hariri | hariri chanzo]
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya Mtakatifu Anjela wa Foligno na ya Mtakatifu Elizabeth Ann Seton, watawa
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |