Nenda kwa yaliyomo

Dalmasi wa Rodez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dalmasi wa Rodez (pia: Dalmas, Dalmace, Dalmatius; karne ya 5 - 580 hivi) alikuwa askofu wa Rodez, Akwitania, leo nchini Ufaransa kwanzia mwaka 524 hadi kifo chake [1][2].

Gregori wa Tours alimsifu kwa ukarimu wake kwa maskini[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-06-25. Iliwekwa mnamo 2012-03-08.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. Patron Saints Index: Saint Dalmatius of Rodez Archived Novemba 2, 2007, at the Wayback Machine
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90433
  4. Martyrologium Romanum
  • Histoire du Rouergue, Privat, Toulouse, 1987.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.