Agostina Pietrantoni
Mandhari
Agostina Pietrantoni (Pozzaglia Sabina, Italia, 27 Machi 1864 - Roma, Italia, 13 Novemba 1894) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki katika shirika la Masista wa Upendo wa Kimungu[1].
Alihudumia kwa huruma ya Kikristo wagonjwa hadi alipouawa na mmojawao kwa kisu[2].
Anaheshimiwa kama mtakatifu bikira. Kwanza alitangazwa na Papa Paulo VI kuwa mwenye heri tarehe 12 Novemba 1972[3] halafu alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu tarehe 18 Aprili 1999[4].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint Agostina Petrantoni". Saints SQPN. 10 Novemba 2015. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Agostina Livia Pietrantoni (1864-1894)". Vatican News Services. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint Agostina Pietrantoni: life". Sisters of Charity of Saint Jeanne-Antide Thouret. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Škrobonja, Ante; Pavlović, Eduard; Zubović, Šime. "Tragic fate of the sister of charity Agostina Pietrantoni - Inspiration for announce of one more possible patronesse of nurses". Acta Medico-Historica Adriatica. 1: 189–201.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Santa Agostina Archived 25 Oktoba 2021 at the Wayback Machine.
- Saints SQPN
- Catholic Online
- Santi e Beati
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |