Nenda kwa yaliyomo

Abo wa Fleury

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa wa kwanza wa kitabu kimojawapo cha Mt. Abo.

Abo wa Fleury, O.S.B. (pia: Abbo, Abbon; Orleans, leo nchini Ufaransa, 945 hivi - La Reole, 13 Novemba 1004) alikuwa kwanza mmonaki, halafu abati wa monasteri ya Fleury[1].

Msomi aliyebobea katika Biblia ya Kikristo na fasihi vilevile [2], alijitahidi kurekebisha umonaki katika nidhamu yake akatetea amani kwa ushujaa hata alipouawa kwa kuchomwa mkuki [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[4] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Novemba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Michael Walsh, mhr. (2001). Dictionary of Christian Biography. Continuum. ku. 1–2. ISBN 0826452639.
  2. Richard W. Pfaff sums up Abbo's achievements as follows: "One of the most versatile thinkers and writers of his time, Abbo put his mark on several areas of medieval life and thought, but none more so than in transmitting much that was valuable from the tradition of reformed French monasticism to the nascent monastic culture of late tenth-century England." Cfr. Richard W. Pfaff, ‘Abbo of Fleury (St Abbo of Fleury) (945x50–1004)’, Oxford Dictionary of National Biography, Oxford University Press, 2004, accessed 13 April 2012.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/77510
  4. "Latin Saints of the Orthodox Patriarchate of Rome".
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.