Omobono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Omobono Tucenghi.

Omobono (Cremona, Lombardia, Italia, karne ya 12 - Cremona, 13 Novemba 1197) alikuwa mfanyabiashara Mkristo maarufu kwa kuishi miaka mingi kwa sala, toba, kusaidia maskini na kuleta amani kati ya watu[1].

Utakatifu wake ulithibitishwa na Papa Inosenti III tarehe 13 Januari 1199.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

kwa Kiitalia
  • Daniele Piazzi, Omobono di Cremona. Biografie dal XIII al XVI secolo. Edizione, traduzione e commento, Diocesi di Cremona, 1991.
  • Alfredo Cattabiani, Santi d'Italia, Milano, ed. Rizzoli, 1993, ISBN 88-17-84233-8, pp. 750-752
  • Andrè Vauchez, Omobono di Cremona laico e santo, ed. N.E.C, 2001.
kwa Kifaransa
kwa Kiingereza
  • John F. Fink, Married Saints, New York, Alba House, 1999.
  • Rev. F. G. Holweck le RT. , A Biographical Dictionary of the Saints, Détroit, Gale Research Company, 1969.
  • Anna Jameson, Sacred and Legendary Art, Boston et New York, Houghton Mifflin Company, 1895.
  • George Kaftal et Fabio Bisogni, Saints in Italian Art: Iconography of the Saints in the Paintings of North West Italy, Florence, Casa Editrice Le Lettere, 1985.
  • Wilhelm Schamoni, The Face of the Saints, trad. en anglais par Anne Fremantle, New York, Books for Libraries Press

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.