Nenda kwa yaliyomo

Antonini, Nisefori na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonini, Nisefori na wenzao Zebina, Jermano na Manata (walifariki Kaisarea Baharini, leo nchini Israeli, 308) walikuwa Wakristo ambao katika dhuluma ya kaisari Maximinus Daia waliteswa kwa sababu ya imani yao na hatimaye walikatwa kichwa kwa kumlaumu gavana Firmiliani kukosa imani kwa kuwa alikuwa akitolea sadaka miungu; isipokuwa bikira Manata aliyepigwa mijeledi akachomwa moto[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Novemba[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.