Jack Elam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jack Elam
Jack Elam katika filamu ya Once Upon a Time in the West (1968)
Jack Elam katika filamu ya Once Upon a Time in the West (1968)
Jina la kuzaliwa Jack Elam
Alizaliwa 13 Novemba 1920, Miami, Arizona, Marekani
Kafariki 20 Oktoba 2003

Jack Elam (alizaliwa tar. 13 Novemba ya mwaka wa 1920, kafariki dunia tar. 20 Oktoba ya mwaka wa 2003) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Elam pia aliwahi kuonekana saana katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western.

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jack Elam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.