Nenda kwa yaliyomo

Simon Bolivar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Simon Bolivar (Caracas, wakati ule: Granada mpya, leo: Venezuela, 24 Julai 1783 - Santa Marta, Kolombia, 17 Desemba 1830) alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania.

Nchi mbalimbali humkumbuka kama baba wa taifa lao.

Kama jemadari alishinda jeshi la Hispania kati ya miaka 1810 na 1820.

Bolivar alikuwa kwa nyakati mbalimbali

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon Bolivar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.