1810
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1780 |
Miaka ya 1790 |
Miaka ya 1800 |
Miaka ya 1810
| Miaka ya 1820
| Miaka ya 1830
| Miaka ya 1840
| ►
◄◄ |
◄ |
1806 |
1807 |
1808 |
1809 |
1810
| 1811
| 1812
| 1813
| 1814
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1810 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]| Kalenda ya Gregori | 2026 MMXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5786 – 5787 |
| Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2779 |
| Kalenda ya Ethiopia | 2018 – 2019 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1475 ԹՎ ՌՆՀԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1448 – 1449 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1404 – 1405 |
| Kalenda za Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2081 – 2082 |
| - Shaka Samvat | 1948 – 1949 |
| - Kali Yuga | 5127 – 5128 |
| Kalenda ya Kichina | 4722 – 4723 乙巳 – 丙午 |
- 11 Januari Johann Ludwig Krapf katika kijiji cha Derendingen (Ujerumani ya Kusini-Magharibi) atakayekuwa mmisionari wa CMS katika Ethiopia na Mombasa; atatunga kamusi na sarufi ya kwanza ya Kiswahili.
- 22 Februari - Frédéric Chopin, mtunzi wa muziki kutoka Polandi
- 2 Machi - Papa Leo XIII
- 8 Juni - Robert Schumann, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 5 Julai - P. T. Barnum, mfanyabiashara kutoka Marekani
