2 Machi
Mandhari
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Machi ni siku ya 61 ya mwaka (ya 62 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 304.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1939 - Uchaguzi wa Papa Pius XII
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 283 - Mtakatifu Eusebius wa Vercelli, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 1459 - Papa Adrian VI
- 1810 - Papa Leo XIII
- 1876 - Papa Pius XII
- 1904 - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss), mwandishi Mmarekani kwa watoto
- 1937 - Abdelaziz Bouteflika, Rais wa Algeria
- 1943 - Jeremiah Solomon Sumari, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1950 - Karen Carpenter
- 1962 - Jon Bon Jovi
- 1988 - Vito Mannone, mchezaji mpira kutoka Italia
- 1998 - Tua Tagovailoa
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1282 - Mtakatifu Agnes wa Praha, bikira Mfransisko nchini Ucheki
- 1835 - Kaisari Francis II wa Ujerumani
- 1932 - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Troadi, Chad wa Mercia, Luka wa Nicosia, Agnes wa Praha, Anjela wa Msalaba n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |