Eusebius wa Vercelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bikira Maria katika utukufu pamoja na Malaika Gabrieli, na watakatifu Eusebius wa Vercelli (ameketi), Sebastiano na Roko katika mchoro wa Sebastiano Ricci.
Sehemu ya Codex Vercellensis, inayodhaniwa kuwa iliandikwa na Eusebius mwaka 370.

Eusebius wa Vercelli (kisiwa cha Sardinia, 2 Machi 283 hivi – Vercelli, Piemonte, 1 Agosti 371) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika karne ya 4 nchini Italia.

Alikusanya mapadri wa jimbo lake kuishi kimonaki.

Pamoja na Atanasi wa Aleksandria alitetea imani katika umungu wa Yesu dhidi ya Waario na kwa ajili hiyo alipelekwa uhamishoni Misri.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 2 Agosti[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Toleo jipya la maandishi yake linapatikana katika gombo la 9 la Corpus Christianorum - Series Latina.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • N. Everett, "Narrating the Life of Eusebius of Vercelli", in R. Balzaretti and E.M. Tyler (eds), Narrative and History in the Early Medieval West (Turnhout, 2006: Brepols), pp. 133–165.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.