Jeremiah Solomon Sumari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jeremiah Solomon Sumari (2 Machi, 1943 hadi 19 Januari, 2012) alikuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki (Akheri) katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Jeremiah Solomon Sumari (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.