Abdelaziz Bouteflika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Abdelaziz Bouteflika, 2006

Abdelaziz Bouteflika (2 Machi 1937 - 18 Septemba 2021) alikuwa rais wa nchi ya Algeria tangu tarehe 27 Aprili 1999 hadi kujiuzulu kwake kwenye 2 Aprili 2019.

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelaziz Bouteflika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.